Bootylious anayeongoza kwa mgongo hapa Afrika Mashairiki, Vera Sidika aka Vee ameamua kurudi shule baada ya kukacha mwaka mmoja bila kusoma, Vee ni video vixen katika ngoma kama P Unit ‘You Gay’ na CMB Prezzo ‘My Gal’, aliandika kwenye ukurasa wake wa Facebook kuwa anarudi shule ili kumalizia kile anachosemea katika chuo cha Kenyatta nchini Kenya baada ya ku-make mkwanja kupitia umbo lake matata. “The 1 year gap I took off school. . Time is up I must get this degree. Back to school. Staying focused Happy new month sweethearts”
No comments:
Post a Comment